Ijumaa, Desemba 12, 2014



Mwili wa kichanga cha jinsia ya kike ulioanza kuaribika umeokotwa leo majira ya saa nane mchana katika eneo la Ukonga Sabasaba Kwa Diofu, kwenye shamba la mzee Msindo.

0 comments:

Chapisha Maoni