Alhamisi, Machi 27, 2014

Mtu mmoja asiye na makazi maalum ajulikanaye kwa jina la utani kama " feijão com arroz " lenye maana ya " wali maharage " ameuawa kikatili na kukatwa uume wake pamoja na korodani katika kijiji cha  Vila Vargas de Teixeira Freitas huko Bahia nchini Brazil.

 Maiti hiyo baada ya kupigwa mawe na kuondolewa sehemu za siri.

Shuhuda wa tukio hilo bwana Sejam alieleza kuwa kabla ya siku ya tukio marehemu huyo alikuwa na tabia ya kuonyesha nyeti zake hovyo mitaani na kujihusisha na vitendo vya ubakaji.

 Eneo la usoni  baada ya kupigwa sana na mawe na wananchi wenye hasira kali.

Siku ya tukio hilo bwana feijão com arroz aliwaonyesha na kuwagusisha nyeti zake mabinti wa mtaani hapo huku wakazi wa eneo hilo wakikasirishwa na vitendo vyake na kwakuwa walishamuonya siku nyingi kabla ila hakuonekana kuwasikiliza bali aliendeleza tabia hiyo kila siku mtaani hapo.

 Sehemu ulipokatwa uume na korodani za mtu huyo.

Wananchi wenye hasira kali walimshambulia kwa mawe na kumuumiza vibaya kwenye maeneo mbalimbali ya mwili wake,huku baadhi ya wananchi walioonyeshwa kukasirishwa zaidi na vitendo vya jamaa huyo wakiondoa sehemu zake za siri kwa zamu ( wakati wengine wakiondoa uume,wengine waliondoa korodani).

Polisi nchini Brazil inaendelea na uchunguzi ili kuwajua wauaji huku wakikazia kuwa mauaji hayo yanatokana na kisasi kutokana na vitendo vichafu vilivyokuwa vikifanywa na jamaa huyo kijijini hapo.

0 comments:

Chapisha Maoni