Jumamosi, Novemba 29, 2014

Muonekano wa Helikopta eneo la Gonga la Mboto jijini Dar.

Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya Helikopta kuanguka.

Helikopta imeanguka leo eneo la Gongo la mboto Moshi Bar jijini Dar, polisi hawajatoa taarifa kama kuna majeruhi .


0 comments:

Chapisha Maoni