Jumapili, Novemba 30, 2014

Macho ya Watanzania Jumamosi Nov  29 2014 yalielekezwa kwenye utoaji wa tuzo za kituo kikubwa cha TV Afrika Channel O ambapo tuzo zilitolewa hapa Johannesburg South Africa huku Diamond Platnumz akiwa msanii pekee kutoka Tanzania kuchaguliwa kuwania tuzo hizi mwaka huu.

Furaha ya Watanzania ilikua kubwa baada ya kuona kijana kutoka nyumbani Tanzania Diamond Platnumz kushinda tuzo tatu kati ya nne alizokuwa anawania Most Gifted East, Most Gifted Afro Pop na Most Gifted Newcomer yaani msanii mpya.

Kwenye tuzo hizi Diamond aliambatana na mama yake mzazi pamoja na mrembo Zari wa Uganda ambae wamekua wakitajwa kwenye headlines sana na Diamond hivi karibuni.


Channel O walitisha sana na maandalizi ya mwaka huu wa 2014 ambapo magari mbalimbali yalitumika kuwaleta mastaa mpaka kwenye stage ambapo magari yaliyotumika yote yanatengenezwa hapahapa South Africa.
 Watangazaji waliohost show kuanzia mwanzo mpaka mwisho.

Most Gifted R&B video

Crazy but Amazing-Donald

Most Gifted West Video

‘Turn Up-Olamide

Most Gifted Ragga/Dancehall

Buffalo Soulja

The Most Gifted Kwaito

Uhuru ft Oskido & Professor Kalawa -tjukutja

Most Gifted East Video

Diamond Platnumz

Most Gifted Dance Video

Busiswa-Ngoku

Most Gifted Hip Hop Video

AKA- Congratulate

Zari, Diamond na mama yake mzazi baada ya ushindi wa tuzo 3

Most Gifted Afro Pop Video

Diamond Platnumz

Most Gifted duo/group/featurning

KCEE ft Wizkid-Pull Over

Most Gifted Video of the Year

Carsper  Nyovest- Dos Shebeleza


Most Gifted Newcomer

Diamond Platnumz

Most Gifted Male Video

Casper Nyovest-Doc Shebeleza

Most Gifted Female Video

Tiwa Savage-Eminado

 Rapper A.K.A kutoka South Africa

Tuzo za 2014 za Channel O zimepata historia ya kipekee tofauti na siku nyingine ambazo Wanigeria ndio wamezoeleka kwamba wanashinda kwa wingi ila 2014 Diamond kutoka Tanzania na Carsper kutoka South Africa ndio wasanii pekee waliong’ara zaidi kwa kila mmoja kuondoka na tuzo zake tatu.

Kama Casper asingeshinda tuzo hiyo ya tatu basi Diamond ndio angekua amebeba tuzo nyingi zaidi kuliko msanii mwingine yeyote.




 Diamond kwenye stage baada ya ushindi wa moja kati ya tuzo zake




 Diamond alipewa heshima ya kutoa tuzo pia vilevile

Diamond Platnumz akizungumza machache baada ya kushindi ya Most Gifted Afro Pop

Hawa ndio mameneja watatu wa Diamond Platnumz, Babtale Salam na Said Fela.

Mtangazaji na Mwimbaji Vanessa Mdee akichukua Selfie na Diamond na Babu Tale baada ya ushindi wa tuzo tatu.

Mameneja wa Diamond Platnumz wakiwa na furaha baada ya ushindi.

Mtangazaji  Shadee wa Clouds TV kwenye interview na Carsper Nyovest  wa South Africa ambaye naye amenyakua tuzo tatu kama Diamond Platnumz.

 
Diamond Platnumz akiwa na Madam Rita & Salama Jabir baada ya ushindi wa tuzo tatu.

 Diamond na Zari.

Picha kwa hisani ya hisani ya Millard Ayo.com

0 comments:

Chapisha Maoni