Jumatatu, Machi 17, 2014

 Muonekano wa nje wa nyumba ya rubani Zaharie Ahmad.
 Polisi walitumia zaidi ya saa mbili wakifanya upekuzi ndani ya jumba hilo la kifahari huku wengine wakiweka kambi nje ya jengo hilo kwa zaidi ya wiki moja.
 Hii ni nyumba ya rubani mwenza wa Zaharie Ahmad aitwae  Fariq Abdul Hamid ambae naye nyumba yake ipo chini ya ulinzi mkali wa Polisi.
 Wanahabari wakiwa mbele ya nyumba ya Fariq Abdul Hamid wakichukua habari wakati polisi wakifanya uchunguzi ndani ya nyumba ya rubani huyo.
 Marubani hao wakiwa na wake zao kabla ya tukio la kupotea kwa ndege hiyo.





0 comments:

Chapisha Maoni