Jumanne, Machi 18, 2014

 Gari aina ya Land Cruiser ikiwa imehabika vibaya baada ya kugongana na gari aina ya Fuso.
 Wasamaria wema wakitoa msaada katika ajali hiyo.
 Wananchi wakishuhudia tukio la ajali hiyo maeneo ya mikese leo.
 Taswira ya eneo ilipotokea ajali hiyo.
Mpaka sasa bado hatujapata taarifa kamili kuhusu ajali hiyo.Habari kamili itawajia hivi punde hapahapa katika blog yako pendwa ya paparazi.

0 comments:

Chapisha Maoni