Ijumaa, Machi 21, 2014

Maiti ya mtu asiyefahamika yakutwa ikielea katika bwawa lenye kina kirefu huko jijini Pathum Thani,nchini Thailand.

Maiti hiyo inaavyoonekana baada ya kuokolewa mtoni.

Waokoaji waliuona mwili huo ukiwa unaelea pembezoni ya mto huo wenye kina kirefu huku maiti hiyo ikiwa imekatwa mapanga hasa maeneo ya shingoni.

 Wananchi wakishuhudia tukio hilo pembezoni mwa mto.

Polisi nchini Thailand ilithibitisha kutokea kwa kifo hicho huku wakisisitiza kuwa kwa mazingira iliyokutwa maiti hiyo inawezekana kuwa wahalifu walitenda unyama huo si zaidi ya masaa ishirini na nne kutoka maiti ilipokutwa.

 Kikosi cha uokoaji wakiwa kazini kuokoa maiti hiyo.
Askari waokoaji na wananchi wakishuhudia tukio hilo.

Askari waokoaji wakiendelea na juhudi za uokoaji.

Shingo ya maiti hiyo jinsi ilivyokatwa mapanga.

0 comments:

Chapisha Maoni