Alhamisi, Machi 20, 2014

 Maiti zilizotokana na ajali hiyo.

WATU tisa wamepoteza maisha wakati watano wakijeruhiwa baada ya treni la abiria kuligonga basi dogo nchini Uturuki.

 Mabaki ya basi yakiwa eneo la ajali.

Basi hilo lililokuwa likiwapeleka wafanyakazi eneo la viwanda mjini Mersin, limegongwa wakati likivuka reli.

Waliopoteza maisha wote walikuwa ndani ya basi dogo ambapo watu watatu kati ya majeruhi wana hali mbaya.


0 comments:

Chapisha Maoni