Jumatatu, Februari 17, 2014

Ni muda kidogo mtangazaji Dina Marious hajasikika kwenye Leo Tena ya Clouds FM ambayo amekua akiifanya, kama hukuwahi kupata jibu ni kwamba alikua mjamzito ambapo kwa sasa ameshajifungua na kushea hiyo picha ya mtoto wao, yeye na mtangazaji mwenzake Reuben Ndege maarufu Ncha kali.

0 comments:

Chapisha Maoni