Jumanne, Februari 18, 2014


Ngoma mpya kutoka kwa mkali Juma Nature akimshirikisha mwanadada machachari katika muziki wa kizazi kipya Judith Wambura a.k.a Lady Jaydee inayokwenda kwa jina la kama jana imezua kizaazaa baada ya mashabiki kuja juu na kumlaumu mkali huyo (Juma Nature) kutoka na kumponda mkali Diamond Platinumz.

Kupitia mtandao wa kijamii wa facebook mashabiki hao walitoa yao ya moyoni kama yanavyoonekana hapa chini....

Add caption
Chukua time yako kuusikiliza wimbo huo kwa kubofya play hapa chini....usisahau kuacha comment yako juu ya wimbo huo...

0 comments:

Chapisha Maoni