Jumamosi, Januari 25, 2014



Baadhi ya wakazi wa kiume wa kitongoji cha Riverside jijini Lagos Nigeria jana walifanya tukio la kushangaza katika moja ya mito ya eneo hilo.

Vijana hao walimkamata na kumuua nyoka anayefanana na chatu katika Mto uitwao Majidun katika eneo la Ikorodu.


Baada ya kumuua nyoka huyo walimweka barabarani na kutangaza kumuuza kwa bei ya Naira za kinaigeria N50, 000 sawasawa na  Shilingi za kitanzania zaidi ya laki tano ( =504367.79Tshs. )

0 comments:

Chapisha Maoni