Ijumaa, Januari 23, 2015

Inaelezwa kuwa aliyeuawa alikuwa na tabia za wizi na mara kwa mara alikuwa anapigwa kwa tabia zake na leo zimetimia za mwizi 40.

 Wakazi wa Shinyanga wakiangalia mwili wa marehemu.

Askari wa jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga akishirikiana na msamaria mwema kusitiri mwili wa marehemu.

Mwili wa marehemu baada ya kusitiriwa.

Askari polisi akiwa karibu na mwili wa marehemu.

Gari la polisi likiwasili eneo la tukio kuchukua mwili wa marehemu.

 Wananchi wakiwa eneo la tukio.

Mamia ya wakazi wa Shinyanga wakiwa eneo la tukio.

Askari wa jeshi la polisi wakichukua mwili wa marehemu.

 Askari polisi wakiondoka na mwili wa marehemu.

Askari polisi wakiondoka eneo la tukio.

Wakazi wa Shinyanga wakiondoka eneo la tukio.

Wakazi wa Shinyanga mjini wakiondoka eneo la tukio.

Wananchi wakiondoka eneo la tukio baada ya polisi kuondoka na mwili wa marehemu-picha na Kadama Malunde 1

0 comments:

Chapisha Maoni