Jumatatu, Desemba 01, 2014

 Sehemu ya kituo cha mabasi Bagamoyo kikiwa kimejaa maji.

Hizi ni picha tofauti zikienesha taswira ya mvua iliyonyesha Bagamoyo alfajiri ya leo na kusababisha mafuriko. Hayo ni maji yaliyojaa stendi ya mabasi ya Bagamoyo.

0 comments:

Chapisha Maoni