Jumatano, Desemba 03, 2014

Kijana ambaye ni kibaka jina lake halikuweza kupatikana kwa mara moja akiwa hoi baada ya kuchezea kichapo cha nguvu toka kwa wananchi wenye hasira kali katika eneo la kituo kidogo cha mabasi mjini Kahama.

Kula buti la uso chaliiiii

Hapa akitoa maelezo kuhusu vitu alivyokwapua.

0 comments:

Chapisha Maoni