Alhamisi, Novemba 27, 2014

Hii ni moja kati ya story ambazo ni adimu kuzisikia na tumezoea kuona watu wakisukuma magari yakinasa lakini sio kwa ndege….

Sio rahisi kuamini hilo lakini imetokea kweli, abiria wa ndege huko Siberia walijikuta wakilazimika kuisukuma ndege hiyo kutokana na kunasa kwenye theluji kwenye uwanja wa ndege, theluji ambayo imetokana na baridi kali.


Baada ya abiria kuinasua ilianza safari kuelekea Krasnoyarsk ambapo ilifika salama, kama unahitaji kutazama jinsi ilivyokuwa unaweza kuplay hii video hapa chini.

0 comments:

Chapisha Maoni