Alhamisi, Novemba 27, 2014

Inasemekana watu 11 wamefariki dunia papo hapo kwenye ajali iliyotokea eneo la kona kali ya Mkanyageni ikihusisha gari ya abiria aina ya costa iliyogongana uso kwa uso na scania semitrela

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wanasema katika ajali hiyo costa imekatika kati na watu waliofariki wapo kwenye costa hiyo.

Habari zinasema idadi hiyo ya maiti inaweza ongezeka  muda wowote kwani hali za majeruhi ni mbaya mno ambapo chanzo cha ajali kimesemwa kuwa ni mwendo kasi.





Costa inayofanya safari zake toka Tanga mjini kuelekea Lushoto na Scania iliyokuwa inatoka Mkanyageni.

crdt: Dj Choka

0 comments:

Chapisha Maoni