Jumatatu, Aprili 21, 2014

‘Finally I made the big move’ ni moja ya caption za picha alizoweka Producer huyu ambae mikono na akili yake vimetumika sana kuuinua muziki wa bongofleva toka inaanza enzi hizo na kina Juma Nature na wengine.


P Funk akivishwa pete ya ndoa na mke wake Hidaya.


Wakiwa kwenye shamrashamra za ndoa yao.


Baadhi ya mastar walimpa hongera.

Crdt: jestina-george



0 comments:

Chapisha Maoni