matukio Jeshi la wananchi latoa msaada Kongowe...Angalia picha hapa 01:38 Paparazi Wanajeshe wakielekeza magari jinsi ya kuvuka katika daraja la kongowe. Gari la abiria likivuka daraja jipya lililokarabatiwa na wanajeshi. Wananchi waamua kutembea kwa mguu kutokana na msongamano wa magari.
0 comments:
Chapisha Maoni