Jumanne, Aprili 29, 2014

Mtu mmoja ameuawa maeneo ya Mbezi Salasala,kwa mujibu wa shuhuda alisema kuwa mtu huyo alikuwa anaomba msaada majira ya saa kumi alfajiri,ambapo kuna watu walikuwa wakimpiga kwa kumkatakata mapanga na kutaka kumchoma moto,haijajulikana kama alikuwa mwizi au kauawa na vibaka.

source: clouds fm

0 comments:

Chapisha Maoni