Jumamosi, Februari 15, 2014

Kupitia kipindi pendwa cha XXL cha clouds fm mama wa msanii Albert Mangwea aliitambulisha kazi hiii ya marehem mwanae.

Chukua time yako kusikiliza nyimbo hiyo hapa chini kwa kubofya play......
 
Tutaendelea kukumbuka mkali...ni kweli kama ulivyosema kwenye ngoma ya "speed 120" uliyoimba wewe na Chid Benz kuwa hata ukifa leo pengo lako halina spare....
RIP 

0 comments:

Chapisha Maoni