Jumamosi, Februari 15, 2014

Chukua time yako kusikiliza track kali kutoka kwa wakali wa muziki wa kizazi kipya Quick Rocka akimshirikisha Ben Pol inayyojulikana kwa jina la Penzi.

Akiitambulisha wimbo huo jana Quick Rocka alisema asilimia sabini ya wimbo huo umetungwa na Ben Pol na maudhui ya wimbo huo unazungumzia mtu anayependwa na mpenzi wake ila yeye hamjali anaempenda.

Bofya play hapo chini kuusikiliza na kudownload wimbo huo...


0 comments:

Chapisha Maoni