Mwigizaji maarufu Charles Warren ambaye ni shoga
anayeigiza sinema katika tasnia ya sinema ya Nollywood nchini Nigeria amefariki
ghafla alhamisi iliyopita majira ya usiku katika Hospitali moja jijini Lagos
nchini Nigeria.
Charles Warren alifariki ghafla wakati akiifanya
mapenzi (akimegwa) na mwenzake aliyetajwa kwa jina la Ajah ambapo ghafla
alianza kulalamika maumivu ya kiuno na baadaye maumivu hayo yakahamia mgongoni
ambapo baadaye alipata haja kubwa mara nne ndani ya muda wa dakika 30.
Baadaye maumivu hayo yalihamia kifuani ambapo
ilibidi awahishwe katika hospitali ya Safeway kwa matibabu zaidi. Rafiki yake
aitwaye Ajah ambaye ndiye waliyekuwa wakifanya naye mapenzi alijaribu bila
mafanikio kumfanyia masaji kifuani ili kumpunguzia maumivu lakini haikusaidia,
Warren alifariki dunia usiku huo huo.
0 comments:
Chapisha Maoni