Jumatano, Februari 05, 2014

Hili ni jambo la kushangaza kabisa katika kukua kwa technologia Duniani kwa baadhi ya watu. Katika hili Majeshi ya Dunia yanazidi kujiimarisha katika Maswala ya ulinzi kwa kutengenezaa Silaha zenye uwezo wa kufika masafa marefu, katika kuthibitiha hili Falme za kiarabu zimejiimarisha zaidi kwa kutengeneza silaha Zenye uwezo mkubwa ili kujilinda na mahasimu wao. . na hii ni silaha aina ya HEAVY ROCKET LAUNCHER, Gari hili limebeba mabom zaidi ya 240 na yote yanapigwa kwa dakika 2


0 comments:

Chapisha Maoni