Jumanne, Januari 21, 2014


Tukio la kusikitisha na kuhuzunisha sana katika mji wa kahama,ungeliona live lazima ulie binadam wengine nin kama wanyama.

Tazama maiti hii ya mtoto mdogo yakutwa maeneo ya soko la wakulima pembeni mwa nyumba za National Housing.

Wakazi wa Kahama wakishuhudia tukio hilo.

Umati wa watu umejaa ili kutambua maiti hiyo.

0 comments:

Chapisha Maoni