Jumamosi, Januari 25, 2014


Kiungo Mghana wa Chelsea Michael Essien, amemwaga wino kukipiga na klabu ya AC Millan ya Serea A.
Akiondoka kwa uhamisho wa bure, amekuwa mchezaji wa kwanza kusainiwa na kocha mpya wa AC Millan Clarence Seedorf kuichezea AC Millan kwa mkataba wa miezi 18.

0 comments:

Chapisha Maoni