Jumatatu, Januari 20, 2014


MTANGAZAJI maaraufu Bongo, Maimartha Jesse amelazimika kuhamisha duka lake lililokuwepo maeneo ya Manyanya-Kinondoni kukwepa vurugu za wabwia unga (mateja).
 

Maimartha alichukua uamuzi huo mapema mwaka huu kufuatia kukerwa na mateja hao kwa muda mrefu katika duka lake la vipodozi hivyo akaona bora alihamishie maeneo ya Vijana, Kinondoni jijini Dar.

“Mwenzagu walizidi sana kurandaranda pale kila siku ni vurugu mwanzo mwisho, nimehamisha vifaa vyote duka amebaki nalo mtu mwingine,” alisema mtangazaji huyo.

0 comments:

Chapisha Maoni