Jumatano, Januari 22, 2014


Wanafunzi wanne Wa shule ya sekondari Mustapha Sabodo mjini Mtwara wamekufa na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari aina ya Benz wakiwa kwenye mchakamchaka asubuhi ya leo.

0 comments:

Chapisha Maoni