Jumatano, Januari 22, 2014


Picha na Maktaba.

Daraja la Dumila mkoani Morogoro lililopo barabara ya Dodoma - Morogoro limekatika na magari hayapiti baada ya mvua kubwa kunyesha usiku wa kuamkia leo. Baadhi ya magari yatokayo upande wa Dodoma na Moro yameamua kugeuza na kurudi yalipotokea maana hakuna njia nyingine zaidi ya hiyo.

0 comments:

Chapisha Maoni