Jumatano, Januari 22, 2014

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi  Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb), Akiweka sahihi katika kitabu maalum mara baada ya kuwasili katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi leo, anayefuatia (kulia) Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Pereira Ame Silima (mb).

0 comments:

Chapisha Maoni