Ijumaa, Januari 24, 2014


Mpiga kambi mmoja ameripotiwa kuliwa na wanyama wakali katika msitu wa Amazon huko Brazil akiwa amepiga kambi hapo ili kuangalia mazingra ya msitu huo unaotisha (kutalii).

 Kinachoshangaza zaidi ni kwanini wanyama hao walichagua kula eneo la usoni na kuacha maeneo mengine ya mwili,ikiwa inajulikana wazi kabisa kuwa wanyama hao huwa wanahitaji miili ya wanadam kuitumia kama chakula.

 Eneo la usoni la mtalii huyo.
Swali la kujiuliza ni kuwa je mwili wake ulipatikana haraka wakati wanyama hao wameweka kiporo au walishiba miili mingine?

  Swali la kujiuliza ni kuwa je mwili wake ulipatikana haraka wakati wanyama hao wameweka kiporo au walishiba miili mingine?

Na je ni mnyama gani unayedhani anaweza kumla mwanadam namna hii?


Ni mara nyingi tu matukio ya aina hii yamekuwa yakiripotiwa lakini watu huzidi kuweka kambi katika msitu huo wenye wanyama wakali. 

 Jinsi alivyoharibiwa vibaya.
Eneo alilopiga kambi mtu huyo.

0 comments:

Chapisha Maoni