Jumamosi, Januari 25, 2014

Tukio hili limetokea kama wiki moja iliyopita, huko wilaya ya BUKOMBE mkoani GEITA.
Tukio hili liliripotiwa na RFA. Ni matukio yanayotokea mara kawa mara, wahanga wakubwa (watendwa) ni WANAWAKE.

Cha ajabu hakuna juhudi za makusudi za kutokomeza vitendo hivi. Wanawake tusimame pamoja kusema inatosha kwa unyama huu mkubwa tunaofanyiwa!

Poleni kwa picha hii mbaya sana, lakini tafakari maumivu aliyopata huyu mwanamke maskini ya Mungu...

0 comments:

Chapisha Maoni