Jumamosi, Mei 31, 2014

Gari ndogo ikiwa imeharibika vibaya baada ya kugonga Treni eneo la kaloleni.

 Gari ikiwa imeharibika vibaya sana baada ya kugonga Treni.

 Wanainchi wa eneo hilo wakiwa wanatazama ajali hiyo baada ya kutokea.


 Taarifa zaidi itawajia Baadae  tunafuatilia kama kuna waliojeruhiwa na vifo.

0 comments:

Chapisha Maoni