Msanii wa Bongo Fleva AY akiwa amewasili na crew yake nzima kuja kumpa pole Mbonie Masimba, AY alitoa laki 6 kununua jeneza la marehemu Tyson hii ikiwa kama mchango wake kwa kuthamini kile alichomfanyia wakati akiwa hai.
Sasa msafara unaelekea Dar na mwili utafikia Hospital ya Kairuki iliyopo Mikocheni na msiba upo Bahari Beach nyumbani kwa marehemu.
Sasa msafara unaelekea Dar na mwili utafikia Hospital ya Kairuki iliyopo Mikocheni na msiba upo Bahari Beach nyumbani kwa marehemu.
crdt: DJ Choka

0 comments:
Chapisha Maoni