Jumamosi, Mei 31, 2014

Pichani ni Anton Mtaka ambaye ni DC wa wilaya ya Mvomero hapa Morogoro, kulia ni raisi wa wasanii Mwakifamba wakiingia eneo la hapa Mochwari tayari kwa maandalizi yote kuwa sawa.


Mbonie Masimba leo ni mtu wa kulia kila mara akikutana na ndugu jamaa na marafiki, kweli huwezi amini kama Tyson hatunae tena, aliyevaa nguo ya njano yenye vidoti doti ameinama chini ni mama mzazi wa Mboni ambaye walikuwa nae toka juzi kwenye shughuli ya kuwagawia wanafunzi madawati.

 Team ya The Mboni Show ikiwa kwenye picha ya pamoja, hawa waliosimama ndio walikuwa kwenye gari pamoja na marehemu Geogre Tyson na hapo hali zao si nzuri sana kila mmoja analalamika maumivu kwenye sehemu zao za mwili. Halafu wawili wamekimbizwa hospital ya Muhimbili kwa matibabu ya haraka.


 David mmoja wa cameraman wa The Mboni Show akizungumza na waandishi wa habari.

 crdt: DJ choka

0 comments:

Chapisha Maoni