Jumatatu, Desemba 22, 2014

Hii ndio picha aliyopost Martin Skrtel kwenye mtandao wa Instagram ikionesha nyuzi nane alizoshonwa.

Hii ndio faulo aliyochezewa Martin Skrtel na mshambuliaji Olivier Giroud.

Ilimchukua takribani dakika 6 Martin Skrtel kutibiwa jeraha lake.

 Baada ya matibabu Skrtel alirejea mzigoni na kuisawazishia timu yake ya Liverpool.


0 comments:

Chapisha Maoni