Jumamosi, Desemba 20, 2014

Lori la mafuta limekata tela lenye namba za usajili T 172ABT na kupibnduka jioni hii katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela jijini Dar es Saam kwa kile kilichoelezwa na baadhi ya mashuhuda kuwa ni mwendo kasi aliyokuwa nao dereva wa lori hilo aliyekuwa akikata kona akitokea mjini Barabara ya Nyerere kwenda barabara ya Kawawa.

 Mafuta aina ya petroli yakimwagika.

 Polisi Usalama barabarani wakilinda eneo hilo.


0 comments:

Chapisha Maoni