Mwili wa dada huyo baada ya kupigwa risasi na majambazi.Watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliokuwa wanatumia usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda, wamemuua kwa kumpiga risasi dada mmoja ambaye jina lake halijafahamika maeneo ya Kinondoni, Morocco jijini Dar es Salaam baada ya majambazi hayo kuiba katika duka la M-pesa, wakati wanaondoka walikuwa wanarusha risasi ovyo na kumpata dada huyu aliyekuwa akipita njia.
Jumatano, Desemba 24, 2014
Related Posts
Ajali mbaya yatokea Nigeria...itazame hapa
27 April 2015Paparazi0Video: Rais Mugabe ala mweleka hadharani
05 February 2015Paparazi0Ndege yaangukia mtoni na kuua watu 12
04 February 2015Paparazi0Kijana achomwa kisu,kisa mgawo wa fedha huko Mara
04 February 2015Paparazi0
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.