Jumatatu, Desemba 15, 2014

Gari la abiria aina ya hiace likiwa limegongana uso kwa uso na gari aina ya Land Cruiser.

Hizi ni baadhi ya maiti zilizopatikana baada ya ajali kutokea.

Hivi ndivyo daladala hii ilivyoharibika baada ya ajali hiyo.

0 comments:

Chapisha Maoni