Jumamosi, Oktoba 25, 2014

Pikipiki iliyopata ajali ikiwa chini.

 Umati wa watu ukishuhudia ajali hiyo.

 Daladala iliyojitolea kumsaidia mjeruhiwa.

 Kondakta wa daladala akiendesha pikipiki ya majeruhi.

KAMERA yetu imenasa umati wa watu wakiwa wamemzunguka mwendesha pikipiki, maeneo ya kona ya kuingia stendi mpya ya Simu 2000, maeneo ya Ubungo jijini Dar es Salaam, ambaye alipata ajali na kuumia  sehemu kadhaa za mwili wake.

Crdt: gpl

0 comments:

Chapisha Maoni