Chris Brown amefanyiwa sherehe ya nguvu iliyoambatana surprises kutoka kwa marafiki na mpenzi wake Karuache Tran.
Marafiki hao waliamua kumfanyia two in one, yaani kushereheke kutoka gerezaji na vilevile kusherehekea siku yake ya kuzaliwa May 9 kwa kuwa ilifika wakati akiwa bado ni mfungwa.
Wengine waliohudhuria ni Big Sean, Tyga na T-Pain.

0 comments:
Chapisha Maoni