Alhamisi, Mei 01, 2014

Matumizi ya dawa za kuongeza biceps kama sythol huwaletea madhara makubwa hasa wale wanaotumia za kukuza misuli yao.

 Athari za synthol.

Sisi tunaishi katika ulimwengu ambapo wanawake wanakufa kwa ajili ya ‘uzuri’ , wanawake wanataka midomo iliyo kamili, tako liloumuka , matiti saa sita figure kama la masogange.

lakini ukweli kua wakina dada wanakufa wakitafuta uzuri.wasichana wengi wanakuwa wanajihusisha na madawa aina mbalimbali ili kurekebisha rangi za ngozi zao ama matako yao au chchu zao ila madhara yake ni makubwa sana hasa pale wanapotumia chemical za sumu.


 Mwanamke mmoja Apryl Brown alipoteza mikono na miguu yake na matako yake kuungua vibaya yote katika harakati za kusaka uzuri. Hapa ni baada ya silicon kuanza kuchoma moto ngozi yake

0 comments:

Chapisha Maoni