Alhamisi, Aprili 24, 2014

Baadhi ya majeruhi katika ajali ya Basi la Luhuye Express iliyotokea juzi Wilaya ya Busega mkoani Simiyu wakipelekwa chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza. Mpaka sasa watu 16 wamepoteza maisha.


 Majeruhi wakiwa hospitalini Bgando.


 Majeruhi wakiendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza.

0 comments:

Chapisha Maoni