Jumatano, Aprili 23, 2014

Mbunge wa Kyela Dr. Mwakyembe akikagua Barabara iendayo Bandari ya Kiwira. 

 Baadhi ya watu wakigangaika kupita juu ya maji hayo yaliyotokana na Mafuriko.


 Baadhi ya watu mbalimbali wakiwa wanashuhudia Mafuriko hayo muda huu.

 Gari Likiwa limekwama katika tope lililotokana na Mafuriko hayo, hili ni eneo la Bujonde. 



0 comments:

Chapisha Maoni