Jumatatu, Aprili 07, 2014

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 23 kutoka mji wa Krabi kusini mwa Thailand anusurika kufa baada ya kula vidonge akikusudia kuuchoropoa ujauzito wa miezi mitatu.

 Madaktari wakimshughulikia ili apate nafuu.

Mwanamke huyo alipoteza matumaini ya kuishi baada ya ujauzito huo kuanza kumpelekesha mara tu baada ya kumeza vidonge hivyo vinavyotumiwa na wanawake wengi katika kuchoropea ujauzito.

Baada ya hali yake kuwa mbaya ndipo watu wa karibu na mjamzito huyo waliamua kuwasiliana na madaktari kuomba usaidizi kwani hali ilishakuwa mbaya.

 Madaktari wakiendelea na uhudi za kuokoa uhai wa mama huyo.

Madaktari walifanikiwa kufika katika eneo la tukio kabla hali haijawa mbaya zaidi na kutoa msaada wa haraka wa kukitoa kijusi hicho kuonyesha baadhi ya nyama zake nje ya mwili wa mama huyo.

Madaktari hao walifanikiwa kukitoa kijusi hicho salama na kumpeleka mwanamke huyo hospitali kwa usaidizi zaidi wa kiafya kwani hali yake ilikuwa ni mbaya.

Daktari baada ya kufanikiwa kukitoa kijusi hicho kilichong'ang'ania.

Hali ya mama huyo bado haijaimarika vizuri hivyo bado yupo chini ya madaktari hayo akipatiwa matibabu hospitalini hapo.

Tazama picha zaidi hapa chini...

Madaktari wakikusanya mabaki ya kijusi huyo.

Mama huyo akiwa hoi baada ya kupata msaada wa madaktari alipotaka kufa

Kijusi baada ya kutolewa na madaktari.

Madaktari katika hatua za mwisho za kukifungasha kijusi hicho.

 Madaktari wakionesha kijusi hicho na mapande ya damu.

ONYO.
Blog hii inalaani vikali vitendo vya akina mama kuchoropoa ujauzito kwa sababu zozote zile,




0 comments:

Chapisha Maoni