Alhamisi, Aprili 24, 2014

Mwezi February kuna picha ya shabiki mmoja wa soka anayeishabikia Manchester United ilisambaa sana ikimuonyesha kajichora tatoo ya “MoyesOut” kwamba hataki kabisa David Moyes aendelee kuwa meneja wa timu anayoishabikia.

Sasa baada ya David Moyes kufukuzwa shabiki huyu ameamua kuiongezea maandishi tatoo hiyo kuonyesha alivyofurahishwa na kufukuzwa kwake ambapo maneno hayo yanamaanisha ‘kazi 
imekamilika’


0 comments:

Chapisha Maoni