Jumatatu, Machi 31, 2014

Samuel Etoo na Davido.
Hivi karibuni msanii wa kimataifa wa Nigeria Davido alikutana na mshambuliaji wa Chelsea Samuel Eto’o alipokuwa kikazi jijini London. Davido alitumia nafasi ya kukutana na Eto’o kumfundisha mwanasoka huyo wa Cameroon kucheza wimbo wake wa Skelewu. Unaweza kuitazama video hapo chini Eto’o akifundishwa kucheza Skelewu….

Bofya play hapa chini kuona video hiyo....

Usisahau kuacha maoni yako kwenye kisanduku hapo chini.


0 comments:

Chapisha Maoni