Jumatatu, Machi 31, 2014

Diamond Platinumz alipost picha hizo mtandaoni huku akiandika maneno yafuatayo...
"Nipo nchini Nigeria kwa shughuli za music ikiwemo,kukamilisha collabo na baadhi ya wasanii wa hapa nchini,lakini pia kushoot video ya wimbo wangu mpya,na mapema leo nilifanyiwa mahojiano na moja ya vituo vikubwa kabisa vya redio hapa Nigeria,BEAT FM".
 



 Akiwa na mmoja wa madancer wake alioongozana nao,anaitwa Dumy.

 Dumy akiwa na Dj Fetty.


 Dj Fetty katika pozi.

 Diamond Platinumz akifafanua jambo redioni hapo.

0 comments:

Chapisha Maoni