Jumamosi, Machi 08, 2014

 Mwanadada machachari kutoka nchini Nigeria ajulikanae kama Maheeda almaarufu kama Malkia wa X alikuwa nchini humo wiki chache zilizopita akishoot video ya wimbo wake mpya ujulikanao kama “Lasgidi Chick”

Katika video hiyo mwanamuziki huyo ambaye pia ni model maarufu nchini humo anaonekana akiwa uchi wa mnyama bila ya wasiwasi.

Tazama picha za matukio tofauti akishoot video hiyo hapan chini...




















0 comments:

Chapisha Maoni