Ijumaa, Machi 07, 2014

  Ndege 5Y-WWA aina ya CRJ200 iliyowasili usiku wa jana.
 Ndege 5Y-WWA aina ya CRJ200 Baada ya Kutua Jana usiku
  Shangwe kutoka kwa wadau mbalimbali mara baada ya ndege kutua

Muonekano wa ndege  hiyo kwa ndani.

Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Captain Milton Lazaro akisalimia wana-Air Tanzania waliofika kuulaki ujio huo
 Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Captain Milton Lazaro Akishuka ndani ya ndege Hiyo.

  Wanafunzi wa mafunzo ya cabin crew katika chuo cha Air Tanzania nao walikuwepo uwanjani kupokea ndege hiyo
Air Tanzania jana usiku wameleta ndege nyingine   5Y-WWA aina ya CRJ200 ikiwa ni muendelezo wa kuboresha huduma zao za anga nchini Tanzania.


0 comments:

Chapisha Maoni