Jumatano, Februari 12, 2014


Mambo sio mabaya kwa msanii Ney wa Mitego kwa Mwaka hu mpya wa 2014 kwa kile alichokifanya hasa kwa Mpenzi wake kueleka katika kusheherekea siku ya wapendanao Duniani,
Kuelekea katika siku ya wapendanao ambapo zimebakia siku 5 ili kufikia ile siku ya wapendanao Dunaini Ney wa Mitego ameamua kumnunulia mpenzi wake usafiri ili kumuwezesha mpenzi wake huyo kutopata tabu katika misafara yake ya kila siku.


 Kupitia instagram Ney wa mitego amepost picha ya gari alilomnunulia mpenzi wake na kuandika maneno haya

 Hii ndiyo gari aliyonunua Ney wa Mitego


0 comments:

Chapisha Maoni